Eagle kingdom network organization(Ekno) Tanzania ni taasisi inayoshughulika na mambo mbalimbali ya ujasiriamali na elimu.Lengo letu ni kuhakikisha jamii inapata elimu sahihi na huduma bora ya jinsi ya kujikwamua katika umaskini kupitia kilimo na ufugaji.Tupo moshi Kilimanjaro na pia tunapatikana katika mitandao ya kijamii kwa jina la Eknotz tafadhali usisite kutufuata kupata elimu,habari,bidhaa na jinsi ya kufanya ufugaji na kilimo kwa kisasa na kwa manufaa karibu sana.
newsletter
WRITE DOWN YOUR EMAIL
Enter your email address below to subscribe to our newsletter.

0 comments:
Post a Comment